Saturday, July 23, 2011

KARIBUNI KATIKA BLOG HII!!!!!!!!

Mkurugenzi wa VIONJO CREAM, EDGER MAHIRANE atoa tamko juu ya uzinduzi wa blog ya VIONJO CREAM utakaofanyika 20 januari 2012, dhumuni la blog hii ni kurekebisha mfumo na mwenendo mbaya unaojitokeza katika filamu zinazochezwa nchini Tanzania.
Haki za wasanii wa filamu, uigizaji wa filamu unaozingatia haki na sio majina ya watu, kuhakikisha maisha ya wasanii wa BONGO MOVIES yanaendana na jasho lao.
Baada ya siku chache utakuwa ukipata matukio katika picha na habari kwa ufupi kuhusiana na filamu za kibongo, filamu za kihindi, filamu za kimarekani na filamu za kinaijeria zinazofananishwa sana na zile za kibongo kwa sababu mambalimbali za kimaudhui.
KWA PAMOJA SOKO LETU LA FILAMU NA MUZIKI WA BONGO TUNAWEZA KULIINUA..