Friday, November 25, 2011

VINEGA katika harakati za kuinua muziki wa BONGO

Mheshimiwa Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu amedhamiria kuhakikisha kuwa muziki wa Tanzania unainuka kwa mapambano ya kufa kupona ili kuhakikisha kuwa haki za wasanii zinapatikana hii ni mojawapo ya harakati kubwa kutokea nchini Tanzania katika tasnia ya burudani tukiachana na ndugu zetu wa filamu ambao nao bado wanaendeleza harakati kikubwa kama watanzania tunapaswa kuungana na ndugu zetu na kuhakikisha kuwa haki inapatikana....MUNGU IBARIKI TANZANIA


Mkoloni, Adili Hisabati, Suma G,Danny Msimamo na Edger mahirane


Edger Mahirane, Adili Hisabati, Suma G, Mr Simple, Mkoloni, Danny Msimamo


Edger Mahirane, Adili Hisabati, SumaG, Mr Simple na Mkoloni


Edger Mahirane, Adili Hisabati, Mkoloni, Mr simple, Suma G, Danny Msimamo

VINEGA NA ANT-VIRUS HARAKATI ZINAENDELEA!!!!

Wakali wa ant-virus wanaokwenda kwa jina la vinega wamedhamilia kufanya juu chini kuhakikisha kuwa muziki wa bongo unakuwa kwa kuwaondoa virus wote wanaosababisha muziki kuyumba.
Suma-G, Danny Msimamo na Edger Mahirane