Monday, February 6, 2012

Matukio mbalimbali ya nyota wa bongo ni ashilio zuri la mafanikio kwa nyota hawa hususani katika filamu, muziki, tasnia ya utangazaji na tasnia nyingine nchini Tanzania kwa wote wenye mapenzi ya dhati na sanaa ya Bongo hatutasita kutoa ushirikiano katiak kuikuza sanaa nchini Tanzania.



uthibitisho wa tuzo hizo kwa vinara wa filamu nchini Tanzania huu ni wa Steven Kanumba kama Best Actor Katika Devils Kingdom


kaka mkubwa Steven Kanumba akifanya mahojiano siku ya tuzo za ZIFF 2011-2012 Maisha Club


Richie, Monalisa na Mama mkubwa Ivon Cherry(mama mzazi wa Monalisa)


kaka mkubwa Steven Kanumba akichukua tuzo ya Vivent Kigosi (Ray) ambaye alikuwa kasafiri usiku wa tuzo hizo

Issa Musa (Cloud) akipokea tuzo ya Best Director

Richie akibadirishana mawazo na mmoja wa vizito wa kampuni za filamu nchini Tanzania


Issa Mussa(Cloud) akifanya maahojiano na waandishi wa habari

kaka mkubwa ana bwembwe sana akimuonesha mmoja wa wadau wa filamu nchini Tanzania katika uandishi wa subtitles kiatu chake alichokinunua nchini ufaransa

baba lao Jacob JB akichukua tuzo ya filamu bora "Senour Bacherol" ZIFF 2011-2012


sana kaka lazima kukuna kichwa mda mwingine waandishi wa habari wanakaba na maswali yaliyoenda shule.


kaka mkubwa Seven Kanumba akimchukulia tuzo kaka mkubwa Vicent Kigosi ambaye hakuwepo ukumbini kutokana na udhuru wa safari....Vicent Kigosi alijitwalia tuzo ya The Best Influencial Icon

ha ha ha ha ha ha wazee wa kazi wakitafakari mawili matatu kuhusiana na kipindi cha Mkasi kinachorushwa na EATV na mtangazaji Salama Jabir


mamaa Odama na Maya "wamependeza sana"


umewaona walivyotoka hili ni bonge la picha wenye roho mbaya wajinyonge...Steven Kanumba na Madam Rita mamaa wa Bongo Star Search ZIFF 2011-2012


Dida Mchopa, Steven Kanumba na Salama Jabir katka picha ya pamoja siku ambayo kaka mkubwa alialikwa kufanya Mkasi.

sana kaka mkubwa umeitoa Tanzania kimasomaso katika tasnia ya filamu.

huyu dogo anaitwa Sophia ila uigizaji wake ni tishio hata kwa nyota wakubwa mchek katika filamu ya "BIG DADDY" utanipa report kaza mdogo wangu huo ndio ugari wenyewe


mamaa Irene Uwoya akifanya mahojiano na mwandishi wa habari siku ya tuzo za ZIFF 2011-2012


nyota wa filamu Bongo na wadau mbalimbali MUNGU aendelee kuwabariki na kuwazidishia

hii ni kwa ajiri ya kaka mkubwa tena Steven Kanumba kama Best Actor

Sunday, January 22, 2012

unakumbuka enzi hizi za 2006 Jay Z na Beyonce walivyotua Bongo na kucheza ngoma ya kimasai

Jay Z na mkewe Beyonce sambamba na baadhi ya watanzania wa jamii ya kimasai walipokuja katika ziara ya kimuziki (2006)

bongo movie katika hatua mpya ya mafanikio

Mh Jakaya Kikwete akiwa na Jacline Wolper mmoja wa majembe katika sanaa ya filamu Tanzania (picha kwa msaada wa News Blog)
Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwa na Vicent Kigosi (picha kwa msaada wa News Blog)
Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwa na mmoja wa wadada wanaofanya vizuri katika soko la fillamu bongo (picha kwa msaada wa News Blog)
Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwa na Steven Kanumba (picha kwa msaada wa News Blog)
Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwa na Richie (picha kwa msaada wa News Blog)
Mheshimiwa Jakaya Kikwete JacobSteven (picha kwa msaada wa News Blog)
Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwa na wawakilishi wa bongo movie mjini dodoma (picha kwa msaada wa News Blog)

Friday, January 20, 2012

kazi hii ni mapenzi ya wengi ila hawa ndio malaika katika kazi

kazi bado ni tete

Tanzania inahitaji mabadiliko katika sanaa na huu ni mwanzo wa safari

kufanya kazi kwa bidii ndio jambo pekee litakalotupeleka katika ulimwengu mwingine wa sanaa hii

mapinduzi yanahitaji umoja na mshikamano ili kufikia malengo

mama mwitango(Elizabeth Edward) na baba mwitango (Sam Jacob) wakijadiliana mawili matatu kuhusiana na mwanao mwitango wanayetaka kumwozesha kwa lazima



mkufunzi akifanya mambo yake

(Samwel Sebastian)baba magosha sijui anawaza nini

Saturday, January 14, 2012

production inaendelea

mambo yamewiva sasa mdumange kwenda mbele

bwana bwana we acha tu

bibi harusi wetu

wacha bwana ndo style gani?

director akifanya mambo

wazazi wamefurahi sasa

toto kubwa eti nalo linadeka kwa baba na mama
 mambo yakiendelea
hapa tukicheki kama kila kitu kipo poa

Cream Production katika shooting

mama Vionjo Cream Agnes Mdoe

Ochieng Gad Ogweno TX wa ukweee
Pauline Maziku (bibi minza)