| kazi bado ni tete |
| Tanzania inahitaji mabadiliko katika sanaa na huu ni mwanzo wa safari |
| kufanya kazi kwa bidii ndio jambo pekee litakalotupeleka katika ulimwengu mwingine wa sanaa hii |
| mapinduzi yanahitaji umoja na mshikamano ili kufikia malengo |
| mama mwitango(Elizabeth Edward) na baba mwitango (Sam Jacob) wakijadiliana mawili matatu kuhusiana na mwanao mwitango wanayetaka kumwozesha kwa lazima |
| mkufunzi akifanya mambo yake |
| (Samwel Sebastian)baba magosha sijui anawaza nini |
No comments:
Post a Comment