![]() |
uthibitisho wa tuzo hizo kwa vinara wa filamu nchini Tanzania huu ni wa Steven Kanumba kama Best Actor Katika Devils Kingdom |
![]() |
kaka mkubwa Steven Kanumba akifanya mahojiano siku ya tuzo za ZIFF 2011-2012 Maisha Club |
![]() |
Richie, Monalisa na Mama mkubwa Ivon Cherry(mama mzazi wa Monalisa) |
![]() |
kaka mkubwa Steven Kanumba akichukua tuzo ya Vivent Kigosi (Ray) ambaye alikuwa kasafiri usiku wa tuzo hizo |
![]() |
Issa Musa (Cloud) akipokea tuzo ya Best Director |
![]() |
Richie akibadirishana mawazo na mmoja wa vizito wa kampuni za filamu nchini Tanzania |
![]() |
Issa Mussa(Cloud) akifanya maahojiano na waandishi wa habari |
![]() |
kaka mkubwa ana bwembwe sana akimuonesha mmoja wa wadau wa filamu nchini Tanzania katika uandishi wa subtitles kiatu chake alichokinunua nchini ufaransa |
![]() |
baba lao Jacob JB akichukua tuzo ya filamu bora "Senour Bacherol" ZIFF 2011-2012 |
![]() |
sana kaka lazima kukuna kichwa mda mwingine waandishi wa habari wanakaba na maswali yaliyoenda shule. |
![]() |
kaka mkubwa Seven Kanumba akimchukulia tuzo kaka mkubwa Vicent Kigosi ambaye hakuwepo ukumbini kutokana na udhuru wa safari....Vicent Kigosi alijitwalia tuzo ya The Best Influencial Icon |
![]() |
ha ha ha ha ha ha wazee wa kazi wakitafakari mawili matatu kuhusiana na kipindi cha Mkasi kinachorushwa na EATV na mtangazaji Salama Jabir |
![]() |
mamaa Odama na Maya "wamependeza sana" |
![]() |
umewaona walivyotoka hili ni bonge la picha wenye roho mbaya wajinyonge...Steven Kanumba na Madam Rita mamaa wa Bongo Star Search ZIFF 2011-2012 |
![]() |
Dida Mchopa, Steven Kanumba na Salama Jabir katka picha ya pamoja siku ambayo kaka mkubwa alialikwa kufanya Mkasi. |
![]() |
sana kaka mkubwa umeitoa Tanzania kimasomaso katika tasnia ya filamu. |
![]() |
huyu dogo anaitwa Sophia ila uigizaji wake ni tishio hata kwa nyota wakubwa mchek katika filamu ya "BIG DADDY" utanipa report kaza mdogo wangu huo ndio ugari wenyewe |
![]() |
mamaa Irene Uwoya akifanya mahojiano na mwandishi wa habari siku ya tuzo za ZIFF 2011-2012 |
![]() |
nyota wa filamu Bongo na wadau mbalimbali MUNGU aendelee kuwabariki na kuwazidishia |
![]() |
hii ni kwa ajiri ya kaka mkubwa tena Steven Kanumba kama Best Actor |