![]() |
Jay Z na mkewe Beyonce sambamba na baadhi ya watanzania wa jamii ya kimasai walipokuja katika ziara ya kimuziki (2006) |
Sunday, January 22, 2012
unakumbuka enzi hizi za 2006 Jay Z na Beyonce walivyotua Bongo na kucheza ngoma ya kimasai
bongo movie katika hatua mpya ya mafanikio
![]() |
Mh Jakaya Kikwete akiwa na Jacline Wolper mmoja wa majembe katika sanaa ya filamu Tanzania (picha kwa msaada wa News Blog) |
![]() |
Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwa na Vicent Kigosi (picha kwa msaada wa News Blog) |
![]() |
Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwa na mmoja wa wadada wanaofanya vizuri katika soko la fillamu bongo (picha kwa msaada wa News Blog) |
![]() |
Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwa na Steven Kanumba (picha kwa msaada wa News Blog) |
![]() |
Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwa na Richie (picha kwa msaada wa News Blog) |
![]() |
Mheshimiwa Jakaya Kikwete JacobSteven (picha kwa msaada wa News Blog) |
![]() |
Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwa na wawakilishi wa bongo movie mjini dodoma (picha kwa msaada wa News Blog) |
Friday, January 20, 2012
kazi hii ni mapenzi ya wengi ila hawa ndio malaika katika kazi
kazi bado ni tete |
Tanzania inahitaji mabadiliko katika sanaa na huu ni mwanzo wa safari |
kufanya kazi kwa bidii ndio jambo pekee litakalotupeleka katika ulimwengu mwingine wa sanaa hii |
mapinduzi yanahitaji umoja na mshikamano ili kufikia malengo |
mama mwitango(Elizabeth Edward) na baba mwitango (Sam Jacob) wakijadiliana mawili matatu kuhusiana na mwanao mwitango wanayetaka kumwozesha kwa lazima |
mkufunzi akifanya mambo yake |
(Samwel Sebastian)baba magosha sijui anawaza nini |
Saturday, January 14, 2012
production inaendelea
Subscribe to:
Posts (Atom)